Ushauri

Ushauri

Nimechaguliwa kusoma Bsc of science in human nutrition ,naomba nishaurini chochote kuhusu hii course kama ni nzuri

# Natanguliza shukrani zangu za dhati wakuu#
Hongera ni nzuri sio mbaya ila BSc. Food, Nutrition and Dietetics na BSc. Clinical
Nutrition and Dietetics ni nzuri zaidi.

Ila kwa ujumla zote zina fursa kwenye Lishe ya binadamu. Unaweza kufanya
kazi hospitali na kwingineko
 
Back
Top Bottom