Ushauri

Yeyeli

Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
40
Reaction score
5
Habari zenu!
Tokea nianze kufanya mapenzi ni mara yangu ya sita sasa, lakini kadri siku zikisogea sioni uafadhali katika tendo. Huwa nasikia maumivu makali pale mboo iingiapo, maumivu ya kama kitu kinagongwa ndani. Na baada ya tendo huwa na bleed japokuwa siku zangu hazijakaribia.
Sasa sielewi tatizo ni nini! Maana sijawahi pata magonjwa ya zinaa.
Nisaidieni jamani!

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Nanihii yako bado haijakomaa sawa sawa.
Subiri ukue zaidi ndo uanze huu mchezo.
 
Duh. Thread nyingine bana. Hata kuchangia unashindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…