Ushauri

Complex Minder

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
534
Reaction score
160
Habari zenu,

Kilichonileta hapa ni kutaka ufafanuzi kama niko na tatizo au ni kawaida. Tukija katika mapenzi kwa upande wangu huwa napata hamu kubwa sana isiyo ya kawaida.

Ute unatoka kibao nakua wet ile mbaya mwili unanisisimka utadhani ninaukame wa miaka kumi hasa nikiwa na chat na mpenzi wangu cha ajabu siku nikiwa nae ile hamu inaisha tukifanya cha kwanza sitamani cha pili uke unakua mkavu balaa na sienjoy kwakweli.

Je, hili ni tatizo au nikawaida?

Karibuni.
 
Ushajaribu katerero
 
Kweli jk ana haki ya kusema amechoka kuongoza watanzania.
 
Complex Minder

Mkuu hii inasababishwa na kukamia kulikopitiliza, tunasema kwamba dushe inaposimama ukiwa umekamia halafu ikashuka nisawa na mshindo mmoja, hivyo ikifanya hivyo maranyingi kwa kumuwaza mtu mmoja jua hizo zote ni mishindo hapo ukikutana nae utafanya round moja tu, huna jipya tena,kwa sababu ww umekwisha fanya nyingi kabla kwa hisia. wanawake wao huwa hawawazi sana kama wanaume,
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…