Complex Minder
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 534
- 160
Habari zenu,
Kilichonileta hapa ni kutaka ufafanuzi kama niko na tatizo au ni kawaida. Tukija katika mapenzi kwa upande wangu huwa napata hamu kubwa sana isiyo ya kawaida.
Ute unatoka kibao nakua wet ile mbaya mwili unanisisimka utadhani ninaukame wa miaka kumi hasa nikiwa na chat na mpenzi wangu cha ajabu siku nikiwa nae ile hamu inaisha tukifanya cha kwanza sitamani cha pili uke unakua mkavu balaa na sienjoy kwakweli.
Je, hili ni tatizo au nikawaida?
Karibuni.