Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Nilitaka kujua tu mkuu [emoji23][emoji23] maana pale penye kuto kuwafahamu shangazi zake
Sasa je kama najua baadhi ambao ni wa kike? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] labda amepatikana mwingine ambaye sijamjua jee
 
Nimeimagine tu kama umeweza kwenda all the way kwaajili ya mchepuko mkeo je??wewe ni selfish sana
 
Nazungumzia ile kutegeneza fitna,zengwe na figisu Fulani ili KUVURUGA mahusiano ya watu, ili Wewe upate nafasi ya kumsogeza karibu umtakae au kumtuliza yule umpendae[emoji2]

BINAFSI ILIKUA HIVI[emoji4][emoji116]
Mkuu umewekeza nguvu nyingi sana kwa mchepuko kuliko kwa familia, its obvious huna muda na mke wako na watoto maana kuingia kwako nyumbani kila siku ni usiku

Parentalhood is not about providing, your time means alot to the kids, jitafakari badala ya kutumia muda mwingi kungonoka na mchepuko, hebu tenga muda ucheze na watoto wako au hata kutoka nao ili ujenge bond, utakuja kunishukuru baadae
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
nimeimagine tu kama umeweza kwenda all the way kwaajili ya mchepuko mkeo je??wewe ni selfish sana
Unanionea Mkuu[emoji4]
Mbona ujaona matatzo ya mwanamke mwenzio(mchepuko), ila umeona yangu TU[emoji26]
 
Kama ibrahimu alizaa na kijakazi tokea misri, ambayo ilikuwa taifa la watu weusi kutokea uzao wa ham, bas ijulikane tu wazi kuwa ishmael alikuwa chotara wa Kibantu na sio muarabu kama mnavyowaaminisha watu uongo.

Hiv izo biblia huwa mnazisomaje? Ama ni marufuku kwenu kutumia common sense kutafakari hivyo vitabu.

Haya mambo ukienda deep sana utagundua siri ambazo mkuu wako wa dini hataki ujuwe
 
Hivi vitu sio vya kumeza km vilivyo aisee[emoji848]
 
Ha ha ha....
Kwakweli imegusa mule mule mkuu[emoji4]
 
Nakumbuka ulivyokuwa Unafukuzwa nikasema Huyo jamaa Naye Anaenda Kujua Moyo wa Mwanamke upoje muda Si Mrefu.
Na sahz Niko njian naelekea kazin kwake kujua mbivu na mbichi khs huu Uzi.

Ntaleta mrejesho soon,
maana tangu Jana usiku akili yangu haijatulia KABISA ukizingatia mtoa mada Ni I'd mpya kabisa[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…