Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

HIZI Mambo za KUVURUGA watu wanafanya Sana hasa wadada akimpenda mwanaume kweli kweli.

Sisi wanaume tukifanya kdg TU, tunaonekana wabaya tunaombewa karma itutatafune[emoji4]
 
Namba zangu za simu huna??

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_6685.jpg

Zote hakuna kituu
 
Maisha haya bana, tunapambana mpka inafika wakati kuna zile talent zetu muhimu zinapotea[emoji23][emoji23].

Hiv mimi sio kawaida yangu kumuacha ninaempenda eti kisa yuko na mtu mwingine.

Kuna ulazima wa mimi kuji-Upgrade niurudishe ule uwezo wangu sas wa kuwasnich na kuwaachanisha wapendanao ili kumpata nimtakae.

Nikikaa kizembe hii Valentine's day nitakula soda nikiwa single[emoji23][emoji23]

Sema nini watu tuna matukio mazito na yaajabu, nais hata kuandika humu wahusika wakisoma itakuwa very bad[emoji23][emoji23] i mean the 3world war will erupt
Very sad
 
Uko so manipulative rafiki yangu.

Hutaki awe na mtu wakati wewe una mke, Huwezi kumuoa, and the same time hutaki kumpa mtoto.

Sijui umri wake, lakini I think utamtumia for the rest of her life, by the time anashtuka ashakua bibi kizee bila hata mtoto wala mume.
Ana akili za kushikiwa huyo mwanamke soma visa vyake, akiwa bibi atakuwa kapokea mshara, mtu anapewa kila kitu na kazi katafutiwa na bonansi anapata anadai elifu 20 kila siku. Akiwa bibi atakuwa kavuna
 
Back
Top Bottom