Na andika mada hii huku nacheka,leo nimeanza kuchangia mada kulingana na maoni ya watu,yaani baada ya jusoma kichwa habari bila kusoma kilichoandikwa nikaenda moja kwa moja kwenye maoni na kuendelea kuchangia mada. Katika hili nina uhakika siko peke tangu.