Ushawahi kuchangia mada kabla ya kuisoma mada yenyewe ?

Ushawahi kuchangia mada kabla ya kuisoma mada yenyewe ?

Kisai

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
28,481
Reaction score
28,749
Na andika mada hii huku nacheka,leo nimeanza kuchangia mada kulingana na maoni ya watu,yaani baada ya jusoma kichwa habari bila kusoma kilichoandikwa nikaenda moja kwa moja kwenye maoni na kuendelea kuchangia mada. Katika hili nina uhakika siko peke tangu.
 
lazima usome mchezo ndo uingie kati so unaingia kichwa kichwa utaangukia pua
 
mara nyingi tuuu... hata hapa nimesoma title tu nimejibu hata sijui hayo mengine umeandika nini
 
Kuna huyu anaitwa Cocochanel kila mchango Ni makonda oyee hata Kama haimuhusu makonda
 
Na andika mada hii huku nacheka,leo nimeanza kuchangia mada kulingana na maoni ya watu,yaani baada ya jusoma kichwa habari bila kusoma kilichoandikwa nikaenda moja kwa moja kwenye maoni na kuendelea kuchangia mada. Katika hili nina uhakika siko peke tangu.
Wazee wa kuwahi seat inawahusu hii.
 
nyuzi zenye maelezo marefu huwa nasoma heading na comments za page ya kwanza napata concept najibu mada that's me

sasa usiombe siku ukutane na wawahi seat, unakuta comments 15 wote wamewahi seat
 
Mara nyingi maana wengine the the the nyingi ukisoma kichwa na comment unakua ushajua nini kinaendelea na unajibu vizuri kuliko walosoma bila kuweka kituo
 
Inabidi usome mada na uelewe kabla ya kuchangia. Mf. Hapa JF ukiona Mada, soma uielewe na kabla ya kuchagia angalia waliotangulia wamesema nini ili usirudie alichosema mwenzako . Kama huelewi pita njia usubiri utakayoekewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom