Fokasigi ... Hee aisee
Duuuh...Kuna huyu anaitwa Cocochanel kila mchango Ni makonda oyee hata Kama haimuhusu makonda
Wazee wa kuwahi seat inawahusu hii.Na andika mada hii huku nacheka,leo nimeanza kuchangia mada kulingana na maoni ya watu,yaani baada ya jusoma kichwa habari bila kusoma kilichoandikwa nikaenda moja kwa moja kwenye maoni na kuendelea kuchangia mada. Katika hili nina uhakika siko peke tangu.
yes wale huwa wakiona Uzi mpya anachofanyaa,,nikuwahi seat zen anaendelea na majukumu ya siku zoteWazee wa kuwahi seat inawahusu hii.