Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Yeah nakumbuka nikiwa secondary
I was very fun na nilikuwa napenda jokes.
Kiasi kwamba mgeni akija anajua huyu mvulana hamnazo.

Sasa one day akaja mdada flani shuleni kwetu.Alikuwa mwarabu alikuwa anasoma business na mimi business.

Sasa nikawa niko zangu kiutani kama kawa,Alikuwa hata kuniongelesha hataki.
Siku moja alipoona mwandiko wangu kwenye daftari akashangaa.Akaambiwa hilo daftari la yule kaka.

Matokeo yalipotoka ya mwezi wa sita shuleni kwenye notisi bodi akaliona jina langu namba moja.Alishangaa sana akawa anauliza ndo yule kaka anapenda utani,akaambiwa ndiyo.

Toka siku ile tukawa best friends na mimi na yeye tulikuwa best students in business
 
Huu uzi umejaa chai sana.
Mkuu wewe utakuwa unaishi maisha gani, Mana Kila mtu anayesimulia Jambo huwa unahitimisha kirahisi tu kuwa ni chai!!

Inaonekana imeishi maisha ukizungukwa na watu waongo waongo , kwa hiyo Kila mtu unamuona ni muongo , wengine wamekulia katika mazingira ya kujiamini mtu kabla ya kushuku.
 
Kuna kijiwe nakagaa kupiga story kuna jamaa mmoja ana tambo sana na wenzake wananichukulia poa sana alikua anambiaga we maskini ongeza konyagi za kupima, mpk siku aliponiona kwenye msafara flani akawahadithia wenzake, Hahahahah... mpk leo hawanisomi
 
Duh..
 
Mkuu hilo somo lilikuwa Business Au Commerce na Bookeping ?
 
Nakumbuka kuna kipindi nilikuwa nakula sehemu(mgahawa).sasa ylule mpishi alikuwa akiniletea dharau sana kwa sababu nilikuwa naulizia ugali kila siku nikiwa pale,alikuwa analeta shobo zaidi kwa wale wanaonunua chipsi.

Lakini mwisho wa siku alikuja kubadilika alipogundua mimi ndiyo mkulima wa vile viazi anavyouza.
 


KiwembeeeeeeeeeeπŸ€ΈπŸ™Œ! Huyu dada ulimfeel Sana na bado unamfeel hii ni mara ya 3 unamzungumzia..hahhahaa πŸ™ŒπŸ€Έ
 
chaiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…