Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama Aki na ukwa
 
Nakumbuka siku nareport shule kuanza 4m 5, sasa kufika pale ofisin kwa makamu wa shule kufanya usajiri,
Ile alivoniona akakaa kimya km dakika 10 anantazama tu, baadae akaniuliza full details zangu nkatoa kumpa (result slip na leaving) plus resit za michango mbalimbali.

Then akaangalia kweny file la selection alipoliona jina langu alishtuka na kuhamaki mno, akasema "ulivyo hufanani na kusoma tahasusi hii, tena kwa shule km hii, na matokeo yako ya 4m 4 na shule uliyotoka hufanani nayo" kiukweli nilijskia vibaya sanam

Ila still maisha yaliendelea hadi nikahitimu, siku nimeenda pale kuchukua results slip na leaving, ndo akanambia kuwa alivyokua anadhani sivyo na alivotegemea wala kuwepo.

Mie huyo nikasepa zangu.
 
alitegemea ww ni mtu wa ain gani kwani kapuku sana au alikuona una muonekano wa kihuni sna
 
πŸ˜€πŸ˜€...huu uzi una fix za kutosha..Ila Kuna watu wanapenda stry za uongo uongo..lol..Bora na ww umeona
Yan kuna watu kila mkasa ukianzishiwa thread humu basi na yy atatoa ushuhuda kuwa ulishawah kumtokea ahahahahahahhahahahahahahahah
 
 
yakinikuta yakunikuta wakati na Apply formula yako mkuu...

fahamu kwamba wewe ndio chanzo na sababu yakila kitu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jf kila mtu boss

Kila mtu ana gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…