Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Mimi kuna siku tena ni zaidi ya mara moja inanitokea, mara ya kwanza ilikuwa pale nje ya wizara ya ardhi niliegesha gari pembeni nikanunue gazeti narudi nakuta wale majamaa wamelifunga.

Nikaanza zozana nao wao jibu wanalonipa kamwite mwenye gari. Yani kila nalowambia wananiambia mwenye gari atalipa we unahangaika nini kamwite mwenye gari, dah ila mwisho nikampa 20,000 akalifungua nikasepa.

Mara nyingine nilikuwa pitiliza mataa wakati taa zimezuia, kumbe mbele kuna traffic, akandaka. Akaanza kunisngekuwa na boss wako usingefanya hivi na maneno mengi. Baadae, akaniomba leseni na kadi ya gari nikampatia akakuta kadi ya gari ina jina sawa na leseni.

Akasema kumbe gari lako nikamjibu ndiyo, akaishia kucheka akasema yani watoto wa kishua bwana mnakula maisha kwa pesa ya baba zenu. Mimi nikacheka tu akaniandikia faini nikasepa huku nikiwaza ungejua mimi mpambanaji tu.

Mara nyingine niliacha gari lilikuwa na matatizo na mimi nina haraka nikalipaki pembeni ya barabara nikachukue boda boda, kumbe huku nyuma askari wakapita lipo, wakapita tena lipo ikabidi watanaze times ambaye katelekeza gari akalichukue mimi sikuwa na habari.

Narudi baadae kulichukua nikiwa na fundi, gari silioni, namuuliza muuza matunda ndiye akaniambia wamelibeba wamelipeleka kituo cha polisi cha kawe. Kesho yake naenda kawe mkuu wa kituo akawa ananizngua kuwa nikamtafute mwenye gari, mpaka nilipofungua nikamwonyesha kitambulisho na kadi ya gari majina yana match. Aliniambia tu niwalipe waliolivuta nisepe tu.

Yani mimi nina mwili mdogo kama wa Mrehemu Ruge Mtahaba, nakutana ma mazarau sana maana hata nikivaa suti haikai ni kama imetundikwa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama Aki na ukwa
 
Nakumbuka siku nareport shule kuanza 4m 5, sasa kufika pale ofisin kwa makamu wa shule kufanya usajiri,
Ile alivoniona akakaa kimya km dakika 10 anantazama tu, baadae akaniuliza full details zangu nkatoa kumpa (result slip na leaving) plus resit za michango mbalimbali.

Then akaangalia kweny file la selection alipoliona jina langu alishtuka na kuhamaki mno, akasema "ulivyo hufanani na kusoma tahasusi hii, tena kwa shule km hii, na matokeo yako ya 4m 4 na shule uliyotoka hufanani nayo" kiukweli nilijskia vibaya sanam

Ila still maisha yaliendelea hadi nikahitimu, siku nimeenda pale kuchukua results slip na leaving, ndo akanambia kuwa alivyokua anadhani sivyo na alivotegemea wala kuwepo.

Mie huyo nikasepa zangu.
 
alitegemea ww ni mtu wa ain gani kwani kapuku sana au alikuona una muonekano wa kihuni sna
 
Ndevu na nywele zangu hazinaga ushirikianao, hivyo nywele uwa nanyoa kila wiki zikae size ya chini kabisa, ndevu naziacha lakini ziko kidevuni tu nazo hata niziache miezi hazizidi kimo flani.

Nilimsikia F.a anasema alianza kuwa na mwili alipoanza kwenda ym ili awe anakula sana, namimi nina mpango huo maana mwili hauna shukrani huu.
[/QUOTE/]

Duh..wengine tunatamani miili fulani wewe unataka mwili..dah..!
 
yakinikuta yakunikuta wakati na Apply formula yako mkuu...

fahamu kwamba wewe ndio chanzo na sababu yakila kitu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huu uzi umejaa chai tupu, kila mwanaume ni " meneja"

Mmoja tu humu kwenye huu uzi namuamini na story zake coz namjua, yuko njema lkn hafananii kabisa na visenti vyake[emoji16][emoji16]
Jf kila mtu boss

Kila mtu ana gari
 
Back
Top Bottom