Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Dah nimefedheheka sana kwa uliyotendewa na huyo baradhuli namuombea afe mapema hata sasa ikiwezekana
They were great charactersKupitia Character ya Samwel Tarly na Jon Snow nimejifunza mengi.
Usimdharau mtu,Siku yoyote atapanda juu na hata asipopanda ipo siku utahitaji msaada wake.
Be humble life is full of possibilities
Ulifanya poa sana kumkwepa.Kuna watu wanadharau alafu kuna hawa mareceptionist kwenye maofisi, unaweza dhani kuna kacourse maalum ka dharau wamesomea na kukafanyia field.
Niliwai tafutwa na kamicrofinance fulani kwa ajili ya kufanya nao kazi zama zile za mkwere. Sasa siku nmeripot kwa ajili ya kuonana na HR na MD nimejibebea kabahasha kangu ka vyeti na cv nimejivalia casual shirt jeupe na denim jeans ya blue. Nmefika kwa receptionist nmemsalimia vizuri kajibu, kumuuliza kuhusu hr ndio balaa lilipoanza. Nakumbuka alijibu hatuna nafasi za kaz sasa hv subiri tukitangaza, nikamwambia sijaja kuomba kazi, akaniuliza bahasha ya nini? Nikajibu ukweli ina vyeti, nikapewa bonge la sonyo. Gafla stuff mwingine akawa anapita akamwita kishambenga ili waje wanizodoe vizuri. But yule mwenzie alkua mstaarabu aliniuliza kama nna appointment na HR nikajibu MD ndio kanielekeza nionane na HR. Basi akaenda kuniitia, nikaitwa kwa HR nikasign contract nikapewa na mtu wa kunionyesha mazingira .
Orientation nilianzia floor ileile nimefika kwa yule dada, jamaa akamuuliza J.... Umemuona Head of internal audit mpya. Dah niljikuta namuonea huruma gafla maana alijitafuta pale kwenye meza yake hadi sio poa. Basi akaanza kujilegeza kila akiniona hadi nikaanza kuhisiwa vibaya. Nashukuru Mungu nilifanikiwa kumkwepa had contract ilipoisha
[emoji23][emoji23]Mimi mwenyewe nilikuwa naudharau huu uzi siku ya kwanza nauona una trend,
Lakini baadae nikagundua demu,maza na mzee wanaufuatilia nikaacha hayo mambo.
Hivi kuna boss wa ikulu tofauti na raisi?It was a suprise kwangu.
Jirani yangu aliokuwa wanajifanya ni Boss wa Ikulu mtaani muda wote kanuna na miwani yake mieusi alikuja kunihudumia Chai Ofisini kwa Mama Salma Kikwete wakati wa WAMA, kumbe Alikuwa Office attendant pale tena wale wa oya oya na mie na wenzangu tulienda kupeleka project paper ya ki NGO chetu ambacho ni Hayati kwa sasa kuanzia 2015.
Nakumbuka siku nareport shule kuanza 4m 5, sasa kufika pale ofisin kwa makamu wa shule kufanya usajiri,
Ile alivoniona akakaa kimya km dakika 10 anantazama tu, baadae akaniuliza full details zangu nkatoa kumpa (result slip na leaving) plus resit za michango mbalimbali.
Then akaangalia kweny file la selection alipoliona jina langu alishtuka na kuhamaki mno, akasema "ulivyo hufanani na kusoma tahasusi hii, tena kwa shule km hii, na matokeo yako ya 4m 4 na shule uliyotoka hufanani nayo" kiukweli nilijskia vibaya sanam
Ila still maisha yaliendelea hadi nikahitimu, siku nimeenda pale kuchukua results slip na leaving, ndo akanambia kuwa alivyokua anadhani sivyo na alivotegemea wala kuwepo.
Mie huyo nikasepa zangu.
Omba namba acha ujinga kwani nani kakwambia ukiomba namba ndio inamaanisha utamtongoza kwa chatting, namba inamaana hata kama unataka face to face utamshawishi kufanya meeting sasa wewe unamuona yupo bize juakali umsimamishe umtongoze How come.Kuna mdada nimefall love kwake .Walimwengu wa jf nakiri wazi ni nakapenda truly. me kuanza zile nichukue namba naonaga tabu sana though am introvert lkn kwenye mtongozo napenda face to face (najua mabaharia mnajua faida za non-verbal traits ambazo mwanamke huzionyesha.
Walimwengu basi ile nimemfata salamu vizuri kawaida akajibu vizuri sana kwa sababu tuna mazoea na salamu basi. Dah nikamwambia sorry naomba kama sekunde 30 unisikilize.... Ohh nikakatwa jicho hiloo akanijibu sina muda, sitaki nipishe nipite. ...
Walimwengu wa jf niliishiwa pozi na si unajua ama introvert na tukitokea tumejipinda kuongea afu tunazodolewa Huwa tunahisi tumesalitiwa na akili kabisa
Sikujibu kitu nikamuacha apite... Rohooo inauma hadi leo..Nakapenda kinyama. Nmekafuata mara ya pili napo hola...
Nmeamua kumpotezea kimykimya . ila ngoja one day...... Ila kakijaa vizuri nawaahidi sitakatesa wala kulipiza. Nakapenda.. Maria dah..unanitesa .😍😍😓😓
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaaani wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna siku niliazima gari nikaenda pale best bite kuchukua zaga.
Sasa nilivyoingia ndani nikakutana na pisi tatu za kwenda zinatoka ndani, nikazipa hi zikachuna full kunipandisha na kunishusha, nikaona POA tu nikafuata kilichonipeleka.
Sasa ile natoka nje nikazikuta ziko bize zinajisnap kwenye gari niliyokua nayo, hiiiiiiiiii bagoshaaa, mbona walikoma kunijua.
Nilianzisha zogo la maana makusudi kabisa, nikaita mpaka uongozi wa pale nikawaambia wawaambie wateja wao wafute picha zote walizopiga gari yangu otherwise niite Askari pale obey waniambie Wana lengo gani na picha za mkwaju wangu?
Hatari[emoji3]It was a suprise kwangu.
Jirani yangu aliokuwa wanajifanya ni Boss wa Ikulu mtaani muda wote kanuna na miwani yake mieusi alikuja kunihudumia Chai Ofisini kwa Mama Salma Kikwete wakati wa WAMA, kumbe Alikuwa Office attendant pale tena wale wa oya oya na mie na wenzangu tulienda kupeleka project paper ya ki NGO chetu ambacho ni Hayati kwa sasa kuanzia 2015.
Mkuu namba ake ninayo na aliridhia mbona. Hta kwa kuchati nilimuambia naomba nionane na wewe akagomaOmba namba acha ujinga kwani nani kakwambia ukiomba namba ndio inamaanisha utamtongoza kwa chatting, namba inamaana hata kama unataka face to face utamshawishi kufanya meeting sasa wewe unamuona yupo bize juakali umsimamishe umtongoze How come.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndo maana sipendi kupiga pic kwa magari ya watu wala kwa bicKuna siku niliazima gari nikaenda pale best bite kuchukua zaga.
Sasa nilivyoingia ndani nikakutana na pisi tatu za kwenda zinatoka ndani, nikazipa hi zikachuna full kunipandisha na kunishusha, nikaona POA tu nikafuata kilichonipeleka.
Sasa ile natoka nje nikazikuta ziko bize zinajisnap kwenye gari niliyokua nayo, hiiiiiiiiii bagoshaaa, mbona walikoma kunijua.
Nilianzisha zogo la maana makusudi kabisa, nikaita mpaka uongozi wa pale nikawaambia wawaambie wateja wao wafute picha zote walizopiga gari yangu otherwise niite Askari pale obey waniambie Wana lengo gani na picha za mkwaju wangu?
Du.[emoji1787]Mimi kuna siku tena ni zaidi ya mara moja inanitokea, mara ya kwanza ilikuwa pale nje ya wizara ya ardhi niliegesha gari pembeni nikanunue gazeti narudi nakuta wale majamaa wamelifunga.
Nikaanza zozana nao wao jibu wanalonipa kamwite mwenye gari. Yani kila nalowambia wananiambia mwenye gari atalipa we unahangaika nini kamwite mwenye gari, dah ila mwisho nikampa 20,000 akalifungua nikasepa.
Mara nyingine nilikuwa pitiliza mataa wakati taa zimezuia, kumbe mbele kuna traffic, akandaka. Akaanza kunisngekuwa na boss wako usingefanya hivi na maneno mengi. Baadae, akaniomba leseni na kadi ya gari nikampatia akakuta kadi ya gari ina jina sawa na leseni.
Akasema kumbe gari lako nikamjibu ndiyo, akaishia kucheka akasema yani watoto wa kishua bwana mnakula maisha kwa pesa ya baba zenu. Mimi nikacheka tu akaniandikia faini nikasepa huku nikiwaza ungejua mimi mpambanaji tu.
Mara nyingine niliacha gari lilikuwa na matatizo na mimi nina haraka nikalipaki pembeni ya barabara nikachukue boda boda, kumbe huku nyuma askari wakapita lipo, wakapita tena lipo ikabidi watanaze times ambaye katelekeza gari akalichukue mimi sikuwa na habari.
Narudi baadae kulichukua nikiwa na fundi, gari silioni, namuuliza muuza matunda ndiye akaniambia wamelibeba wamelipeleka kituo cha polisi cha kawe. Kesho yake naenda kawe mkuu wa kituo akawa ananizngua kuwa nikamtafute mwenye gari, mpaka nilipofungua nikamwonyesha kitambulisho na kadi ya gari majina yana match. Aliniambia tu niwalipe waliolivuta nisepe tu.
Yani mimi nina mwili mdogo kama wa Mrehemu Ruge Mtahaba, nakutana ma mazarau sana maana hata nikivaa suti haikai ni kama imetundikwa tu.
akacheka sana.Nakumbuka kuna kipindi nilikuwa nakula sehemu(mgahawa).sasa ylule mpishi alikuwa akiniletea dharau sana kwa sababu nilikuwa naulizia ugali kila siku nikiwa pale,alikuwa analeta shobo zaidi kwa wale wanaonunua chipsi.
Lakini mwisho wa siku alikuja kubadilika alipogundua mimi ndiyo mkulima wa vile viazi anavyouza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndevu na nywele zangu hazinaga ushirikianao, hivyo nywele uwa nanyoa kila wiki zikae size ya chini kabisa, ndevu naziacha lakini ziko kidevuni tu nazo hata niziache miezi hazizidi kimo flani.
Nilimsikia F.a anasema alianza kuwa na mwili alipoanza kwenda ym ili awe anakula sana, namimi nina mpango huo maana mwili hauna shukrani huu.
Sasa sijaelewa...matokeo yako yalikuwa mazuri sanaaa au mabaya sanaa?Nakumbuka siku nareport shule kuanza 4m 5, sasa kufika pale ofisin kwa makamu wa shule kufanya usajiri,
Ile alivoniona akakaa kimya km dakika 10 anantazama tu, baadae akaniuliza full details zangu nkatoa kumpa (result slip na leaving) plus resit za michango mbalimbali.
Then akaangalia kweny file la selection alipoliona jina langu alishtuka na kuhamaki mno, akasema "ulivyo hufanani na kusoma tahasusi hii, tena kwa shule km hii, na matokeo yako ya 4m 4 na shule uliyotoka hufanani nayo" kiukweli nilijskia vibaya sanam
Ila still maisha yaliendelea hadi nikahitimu, siku nimeenda pale kuchukua results slip na leaving, ndo akanambia kuwa alivyokua anadhani sivyo na alivotegemea wala kuwepo.
Mie huyo nikasepa zangu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mara nyingi Sana ,alikuja rafiki wa mfanyakazi wangu wa dukani infact wote wa tatu Ni age mate Japo naweza kuwa nimewapita Kati ya miaka mitatu au minne hivi wote wawili
Basi hako kadada kakaja vipi Geee akimanisha huyo Sasa mfanyakazi wangu poa mzima Karibu Sana hapa ndo napofanya kazi aah pazuri Karibu Sana ,Mimi hata salamu ya Mambo hakunipa ......
Yule Gee Sasa mfanyakazi akamtambulisha Karibu huyu ndo boss wangu ,akapigwa na butwaaaa paaaaap,akasema shikamoo na goti la kuibia nikamwambia kwa mkato marahaba(shikamoo yake ilikuwa ya mshutuko Mana infact tumelingana)
Akakosa pozi rafikiye akamtoa