Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah... [emoji2960]
Yule jamaa sidhani kama atakuja kurudia ujinga wa kwenda kumgegeda demu kwaoWajumbe nyie!!
Mpaka mbwa mnawaruhusu kufanya umafia, au ulikerwa na miguno ya nduguyo?
Ha ha ha ha haYule jamaa sidhani kama atakuja kurudia ujinga wa kwenda kumgegeda demu kwao
Duuh mkuu kweli hayo yalikuwa maamuzi magumuSisters zangu wawili walikua wanatabia za kuzalia home, mabwana zao hatuwajui wanajitokeza baadae wakati mama kaangaika sana na kujifungua kwao.
Nimemaliza form six nimerudi home miaka ya 2000 mids, nikakuta mmoja tumbo kubwa hataki kutaja, kiburi tu! Nikatulia tu, sasa siku ya siku usiku mkubwa ukamwanza uchungu aisee, niko na maza tu na yeye... Mama akaja niaamusha niwapeleke hosp, mama halikua hajui chochote khs gari, aligongaa mlango nilikaa kimya, ailibembeleza wee Huku anaanza vuja damu balaa sijui nilikaa kimya, akatoka akaenda kwa majirani ndio kuchukua taxi, kesho wanarudi kajifungua wananiangalia sikujali niliwachoka
[emoji28][emoji28][emoji28] kwa kile alichofanywa jamaa siku ile sometimes nikikumbuka namwonea huruma, na mimi nilipata funzoUkisikia wale madingi wanoko kama wakoloni basi wewe unaongoza[emoji3][emoji3][emoji3] (joke) ila huyo sista wako alikosa kuwa na adabu yeye pamoja na jamaa yake, uchafu wao wangeenda kufanyia hukooo na sio nyumbani mnapoishi, ulifany jambo jema sana, ungejua ungewafundisha na mbwa namna ya kuruka ukuta ili walale nae mbele
Hahaha, hamkuwahi kuwasiliana tena?Nilipanga nimuoe mtoto wa mzee Hilary ana biashara ya malori kusafirisha nyanya mi sikuwa na kitu wakati huo
Sherehe waligaramia upande wa mwanamke mchango nilikuwa nakao nao mimi .baadae ela zilivyo kuwa nyingi nilikimbia nazo nikamuacha mtoto wao kwenye mataa sikumuoa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuuHahaha, hamkuwahi kuwasiliana tena?