Ushawahi kufiwa na mpenzi wako wakati mnafanya Mapenzi?

Ushawahi kufiwa na mpenzi wako wakati mnafanya Mapenzi?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,201
Reaction score
17,563
Nipo namsikiliza Mtu anasema kuwa wakati mnafanya Mapenzi, dyu dyu ukiingia kwenye sehemu za siri za mwanamke, na mambo yakakolea, wakati mwingine dyu dyu unazama inagoma kutoka kwahiyo ule mizunguko wa damu na presha na nini Mtu anaweza akafa

Sa nimelala hapa, najaribu kupata picha ivi wakati wa Ku-du Mtu akafa juu yako au chini yako inakuwaje?

Je ushawahi kufiwa na mpenzi wako wakati mnafanya Mapenzi?

Embu tueleze ulifanyaje?! na je dyu dyu ilichomoka?
 
umewaza gizani kweli wee mdada..
lakini kama ikikutokea hivyo mtu kakata moto na dyudyu lipo inside unalichomoa tu kibigwa, ila kama alipaka vumbi la kongo linaweza kubaki active wakati jamaa kashafika kuzimu anachomeka na dhamb yakuzini 😂😂😂
 
umewaza gizani kweli wee mdada..
lakini kama ikikutokea hivyo mtu kakata moto na dyudyu lipo inside unalichomoa tu kibigwa, ila kama alipaka vumbi la kongo linaweza kubaki active wakati jamaa kashafika kuzimu anachomeka na dhamb yakuzini [emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom