Ushawahi kufiwa na mpenzi wako wakati mnafanya Mapenzi?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,201
Reaction score
17,563
Nipo namsikiliza Mtu anasema kuwa wakati mnafanya Mapenzi, dyu dyu ukiingia kwenye sehemu za siri za mwanamke, na mambo yakakolea, wakati mwingine dyu dyu unazama inagoma kutoka kwahiyo ule mizunguko wa damu na presha na nini Mtu anaweza akafa

Sa nimelala hapa, najaribu kupata picha ivi wakati wa Ku-du Mtu akafa juu yako au chini yako inakuwaje?

Je ushawahi kufiwa na mpenzi wako wakati mnafanya Mapenzi?

Embu tueleze ulifanyaje?! na je dyu dyu ilichomoka?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nasubir majibu ya wanawake waliofiwa na mwanaume juu wakat wanaduu,...
Asee, ila hayo Mambo yapo watu wanatengeneza midawa ukichepuka tu mnanasa mwanaume akifa unakuwa Kama umebeba diaba la maji kifuaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
umewaza gizani kweli wee mdada..
lakini kama ikikutokea hivyo mtu kakata moto na dyudyu lipo inside unalichomoa tu kibigwa, ila kama alipaka vumbi la kongo linaweza kubaki active wakati jamaa kashafika kuzimu anachomeka na dhamb yakuzini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…