Ushawahi kugombania demu na DJ Klabu au Baa ukashinda hii game?

ROOM 47

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2022
Posts
2,301
Reaction score
7,460
Ma dj waga waduazi sana wanajifanya mademu wazur wote wanaokuja clabu au bar ni spesho kwa ajili yao tu. Demu anakupanga fresh alafu badaye utamkuta yupo kwa dj pembeni kama kifaraga cha kuchi hapo kumtoa inakuwaga ngumu sana sana sana ukiforce utaishia kumaliza pesa zako tu tena mkimpa bia nyingi anampa na dj (fck$) kabisa.

Ma DJ jau sanaa acheni hizo mambo alafu njaaaa kaliiii sanaaaaaaaaa mnataka mademu kinguvu sana na nyie mademu acheni shobo kuwa karibu na dj sio ujanjaaa ni ushambaaa plus
 
Pole sana mkuu, inauma kwa kweli ila yatapita tu.
 
Kweli kabisa

Tafuta hela mkuu,
Ukiwa na hela utaondoka na Demu wa Dj, tena atamtoroka..
 
Ma dj waga waduazi sana wanajifanya mademu wazur wote wanaokuja clabu au bar ni spesho kwa ajili yao tu. Demu anakupanga fresh alafu badaye utamkuta yupo kwa dj pembeni kama kifaraga cha kuchi hapo kumtoa inakuwaga ngumu sana sana sana ukiforce utaishia kumaliza pesa zako tu tena mkimpa bia nyingi anampa na dj (fck$) kabisa.

Ma DJ jau sanaa acheni hizo mambo alafu njaaaa kaliiii sanaaaaaaaaa mnataka mademu kinguvu sana na nyie mademu acheni shobo kuwa karibu na dj sio ujanjaaa ni ushambaaa plus
Umeongea kwa hisia sana.🙄
Mademu wenyewe wanaliwa bure tu na Ma Dj
Tafuta pesa mkuu
 
Hivi hao ni mademu au malaya yani asubiri hadi dj amalize kazi saa 7 usiku huko ndo atoke nae afu useme ni demu ?
 
Ma dj waga waduazi sana wanajifanya mademu wazur wote wanaokuja clabu au bar ni spesho kwa ajili yao tu. Demu anakupanga fresh alafu badaye utamkuta yupo kwa dj pembeni kama kifaraga cha kuchi hapo kumtoa inakuwaga ngumu sana sana sana ukiforce utaishia kumaliza pesa zako tu tena mkimpa bia nyingi anampa na dj (fck$) kabisa.

Ma DJ jau sanaa acheni hizo mambo alafu njaaaa kaliiii sanaaaaaaaaa mnataka mademu kinguvu sana na nyie mademu acheni shobo kuwa karibu na dj sio ujanjaaa ni ushambaaa plus
Kama ilivyo mademu kupenda kukaa pembeni kwa dereva wa chombo au mchoma mishikaki na mkaanga chips hivyohivyo humfananisha dj na kaanga chips ndiyo sababu wanapenda kukaa makwapani mwao.
 
acha unyonge unaibiwa demu na Dj?
Nlimvua meneja demu wake maeneo huko zaman hio na nilikua denti
 
Back
Top Bottom