Ushawahi kuibiwa kitu chochote na mpenzi wako?

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Hiyo siku ilikuwa kituko nimetoka zangu chuo nimefulia nipo weekend kwa mpenzi wangu kupiga jicho naona wallet imenona ikabidi niibe laki na elf 30 nikaziweka kwenye mkoba.

Haya tukalala kesho asubuhi nikajiandaa nisepe chuo akanipa elf 50 ile nafika hostel nicheki nikakuta kwenye zile hela nilizoiba imebaki elf 80.

Kumbe na yeye aliiba kwangu akanipa ngoma ikawa imeisha mshindi mimi.

Kilichofuata hapo tukawa max.

Ila vitu kama CD,Flash na pombe za kwenye fridge huwa nachukua au ndo kuiba hukoo.
 
Hahahahaa. Mlikutana jambazi na kibaka.
 
Back
Top Bottom