Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kuchukuaHapana.
Hata kuchukua. Huwa naomba. Nikichukua lazima nisems nimechukua kitu Fulani.Hata kuchukua
Tabia nzuri itakusaidia kuingia mbinguniHata kuchukua. Huwa naomba. Nikichukua lazima nisems nimechukua kitu Fulani.
Ungeyaiba piaSijawai kumuibia maana alikuwa anakuja Na pumbu zake tu
Toa direction mkuuBado nimelala [emoji41]View attachment 873172
Niyapeleke wapi yamelegea vile?Ungeyaiba pia
Miss Natafuta ulifichwa na nani mbona uliadimika kama mkojo wa kuku?Toa direction mkuu
Hahaha ni madini hayo...Niyapeleke wapi yamelegea vile?
Yalikuwa yamejaa vumbi tuHahaha ni madini hayo...
Mbona nipo mkuuMiss Natafuta ulifichwa na nani mbona uliadimika kama mkojo wa kuku?
Kwa sasa upo ila hapa kati kati ulipotea kweli kweliMbona nipo mkuu
Hatukutani tu bna.Kwa sasa upo ila hapa kati kati ulipotea kweli kweli
Nafasi iko?Sijaolewa wala sina mchumb
FB IMAGE [emoji41]Bado nimelala [emoji41]View attachment 873172
Una hela?Nafasi iko?
Nina PesaUna hela?
Mganga humuibii?Hiyo siku ilikuwa kituko nimetoka zangu chuo nimefulia nipo weekend kwa mpenzi wangu kupiga jicho naona wallet imenona ikabidi niibe laki na elf 30 nikaziweka kwenye mkoba.
Haya tukalala kesho asubuhi nikajiandaa nisepe chuo akanipa elf 50 ile nafika hostel nicheki nikakuta kwenye zile hela nilizoiba imebaki elf 80.
Kumbe na yeye aliiba kwangu akanipa ngoma ikawa imeisha mshindi mimi.
Kilichofuata hapo tukawa max.
Ila vitu kama CD,Flash na pombe za kwenye fridge huwa nachukua au ndo kuiba hukoo.