uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,324
- 2,085
Ungeziiba hizohizoSijawai kumuibia maana alikuwa anakuja Na pumbu zake tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeziiba hizohizoSijawai kumuibia maana alikuwa anakuja Na pumbu zake tu
UnayakaangaNiyapeleke wapi yamelegea vile?
Hiv kuna wakati huwa kuku anakojoa etKwa sasa upo ila hapa kati kati ulipotea kweli kweli
[emoji1] [emoji1] [emoji1] huyo manzi ni rais wa wahuni.....alifungua gari na kutoa engineAliwekewa madawa usiku yule mtoto akamcall mtaalamu wakamfanyia yao jamaa anaamka asubuhi anajikuta na mshono
Alkua anatak uendlee kuzinusa nusaZaidi ya kuacha vyupi vyake ghetto sidhani
Nsaidie namba zake ... Mi jtaweka buku mbiliHiyo siku nimeenda kwa Mshikaji wangu wa Longi, Nafika kwao nakuta wametembelewa na mtoto wa sista hao na kabinti bado Yanki na chuchu Konzi, Nikacheki Kitoto kina kitako cha kichokozi na kiuno Chembaambaa kama Nyigu, gentomani nikasema huu mzigo hevi nikupata nanyonya adi Kamasi, Kama ujuavyo bontawni hakosi janja nikamzimisha mtoto na bodi langweji moja matata demu akaelewa, neksti wiki mtoto akajaa geto.. dogo alikuwa anajua lav si haba, mutoto Kiuno Ringi.. nikasema wacha nimletee ata chipsi yai nilivaa tro ilikuwa na 50K ivi, nikaacha walleti geto ikiwa na 7000, aah manzi kumbe kachomoa 7000 ile akaamsha asee.. Nilicheka sana na kujipongeza kwa kueka hela ingine mfukoni, dheni nikapiga zile chipsi zote mbili na laifu ikasonga.. Mara ya kwanza naibiwa na demu ilikuwa hivo..
Swalehe ... Oky anakufaham kuna muda huwa anatumia hii akauntSwalehe
Hiyo siku ilikuwa kituko nimetoka zangu chuo nimefulia nipo weekend kwa mpenzi wangu kupiga jicho naona wallet imenona ikabidi niibe laki na elf 30 nikaziweka kwenye mkoba.
Haya tukalala kesho asubuhi nikajiandaa nisepe chuo akanipa elf 50 ile nafika hostel nicheki nikakuta kwenye zile hela nilizoiba imebaki elf 80.
Kumbe na yeye aliiba kwangu akanipa ngoma ikawa imeisha mshindi mimi.
Kilichofuata hapo tukawa max.
Ila vitu kama CD,Flash na pombe za kwenye fridge huwa nachukua au ndo kuiba hukoo.
NmwambiajeMsalimie sanaa
Acha wizi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]