Hapana si ww, sijawahi date na dame wa chuoMbn kama mm
Aliwekewa madawa usiku yule mtoto akamcall mtaalamu wakamfanyia yao jamaa anaamka asubuhi anajikuta na mshonoAliibiwaje sasa
Cc: miss natafutaWakija unitag
Mwanangu yup swalehe au vickyHahahaha ila wewe una vituko kama mwanao
Hahahahaa. Mlikutana jambazi na kibaka.Hiyo siku ilikuwa kituko nimetoka zangu chuo nimefulia nipo weekend kwa mpenzi wangu kupiga jicho naona wallet imenona ikabidi niibe laki na elf 30 nikaziweka kwenye mkoba.
Haya tukalala kesho asubuhi nikajiandaa nisepe chuo akanipa elf 50 ile nafika hostel nicheki nikakuta kwenye zile hela nilizoiba imebaki elf 80.
Kumbe na yeye aliiba kwangu akanipa ngoma ikawa imeisha mshindi mimi.
Kilichofuata hapo tukawa max.
Ila vitu kama CD,Flash na pombe za kwenye fridge huwa nachukua au ndo kuiba hukoo.
Aiumi huo sio wiizi... Wizi ni kuchukua kimya kimya laki na thelathini ya mshikanji wako anayekupiga msariboko [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inaumaa hiyoo pole yakeee
Shemeji chai hiiKuna jamaa alishaibiwa Figo ila alilala na kahaba