Ushawahi kuishi na mtu usiempenda / unaemchukia nyumba moja?

Ushawahi kuishi na mtu usiempenda / unaemchukia nyumba moja?

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Yani unaishi na mtu, ukimuangalia unasikia hasira, kila anachofikifanya kinakukera, did you? Waeza omba dunia iyeyuke
 
Bado hujaachana na mkeo? Wewe utakuwa umerogwa na michepuko.....hama hapo nyumbani utakuja kupata uchizi
 
Tafuta kanisa au msikiti ili uondoe hiyo roho chafu, unawezaje kusema hadharani unamchukia mtu hata hajakukosea?
 
Yan unaanza Je kuishi na mtu ambaye humpendi???! [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Sijawahi kuchukia ila kukereka ndio ipo hasa kwa mtu uliyekaa nae muda mrefu
 
Yani kila anachofanya kinakukera? Alikufanya nn huyo mtu, chuki inamuumiza anayeifuga.

Pengine unayemchukia,yeye hata hajui.
 
Back
Top Bottom