Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Mamamkwe kanuna sababu alitegemea yeye kuchukuwa nafasi ya mwanawe Rachel kumbe mjanja Grace a.k.a G kawahi yeye🤣🤣

Halafu Patrickkk mbegu zako umepeleka familia sio kabisa, ukipata mtoto wa kike si atakuwa kama hao mama zao unao wachakaza sasa😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…