Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
Sasa acha nikusanue leo hii ukitazama orodha ya watu matajiri zaidi duniani basi kwenye top 20 yao.
Utakutana na wanawake watatu na wanaume 17.
✓ Wanawake ao ni Bi Francoise Bettencourt ambae yupo nafasi ya 14.
Ni mfaransa mrithi wa kampuni ya vipodozi ya L'Oréal ambaye anamiliki 33% ya kampuni hiyo na familia yake.
Mwanamke huyo wa miaka 65 alirithi mali utajiri huo kutoka kwa mama yake Liliane Bettencourt, aliefariki dunia mwezi Septemba mwaka 2017 akiwa na miaka 94.
✓wapili ni Alice Walton ambae yupo nafasi ya 19.
Mwanamke huyo aliye na umri wa miaka 69 ni binti wa kipekee wa mwanzilishi wa duka kubwa zaidi la jumla nchini Marekani,Sam Walton.
Hata hivyo tofauti na ndugu zake wawili wa kiume, alijitenga na biashara ya familia na kujiingiza katika biashara ya sanaa na kuwa mwenyekiti wa makavazi ya sanaa nchini Marekani inayofahamika kama Crystal Bridges Museum iliyo na makao yake mjini Bentonville, Arkansas.
na watatu ni Julia kochi & Family ambae ni tajiri namba 20.
Mwanamama huyu wa miaka 79 ni mzaliwa wa tatu katika familia ya Mars, kampuni kubwa zaidi ya uokaji dunia ambayo alianzishwa na babu yake Frank mwaka 1911.
Alifanya kazi katika kampuni ya familia yake kwa karibu miaka 20 nakuwa katika bodi ya usimamizi wake hadi mwaka 2016.
Hizi report sio nimetunga mimi hapana ni kwa mujibu wa forbes na ukitazama ao matajiri watatu wa kike karibia ya wote wamerithi kutoka kwenye familia zao .
Sasa unaweza ukajiuliza kwanini ni mara chache sana wanawake sio matajiri.
Ukweli ambao upo wazi kabisa ambao hata wanawake nao hawapendi kuhusikia wanawake wengi wanapenda sana katika kupewa zaidi kuliko kutoa.
Na athari yake ni kubwa zaidi na inakuwa kubwa zaidi pale mwanaume unampolekea mwanamke kitu kama zawadi . basi akili ya mwanamke utafsiri lile ni jukumu lako la kila siku hata kama wewe ulipeleka kama zawadi tu .
Siku kama haujampelekea kile kitu ambacho unampelekea utaanzisha ugomvi na atakuona una roho mbaya.
Now days tunaishi katika jamii ambayo asilimia kubwa mwanaume anategemewa kiuchumi na mwanamke.
Lakini mipango yote ya mwanaume mara nyingi ulabitiwa na mwanamke yani mwanaume anakuwa kama mtekelezaji lakini mwanamke anakuwa ni mtendaji mkuu
Hivyo maumuzi/matumizi yoyote mabaya humuumiza direct mwanaume, na kuna asilimia ndogo ya wanaume inayotegemea wanaume wenzao au wanawake
•hii jamii haiwez kuumizwa na hayo maamuzi/ matumizi hii jamii japo ya kiume ila inakuwa aina tofauti sana na ya kike.
Jana jioni nilikuwa naongea na mdada mmoja nikwambia wanawake bila kubebwa hamuwezi kufanya kitu, Nikapatia mfano chukua million moja wape mtoto wa kiume na kike.
Cha kwanza mtoto wa kike atakufata akuulize pesa ile aifanyie biashara gani kiufupi wanawake wengi hawapendi kuumiza akili zao, ndo hata kwenye mahusiano mwanaume ukiwa na tatizo utalisolve kimya kimya ila mwanamke lazima akwambie tu ili umsaidie mawazo.
Wanawake walitakiwa wawe matajiri kuzidi wanaume ila wamefail sehemu moja tu wazito sana kufukilia na mara nyingi mambo wanayoyafikilia uwa hayajengi kesho yao, mwanamke anawaza anunue wigi , anunue nguo mpya iliyotoka , apendeze , afanye kitu awarushe roho wenzake.
wanaamini sana katika kupewa na katika kupewa kunawapunguzia uwezo wa kufikiria.