Frankmarium International
New Member
- Oct 25, 2023
- 4
- 2
Jibu ni kwamba hasilimia kubwa ya wafanya Biashara na Wachimbaji wa Madini ya Vito hapa Tz, wengi wao hufanya biashara kwa mazoea, Huku wakiyafahamu vyema kwa mtizamo, lakini ukijaribu kuangazia zaidi katika upande wa thamani halisi huwa ufahamu wao ni Mdogo mno, kitu ambacho hukatisha tamaa wafanya Biashara wengi na wengineo kuamua kuachana kabisa na biashara hii haswa kwa wale wanao anza.
Lakini tukijaribu kuangazia katika Mataifa ya N'gambo, wafanya Biashara wengi huwa ni wenye ujuzi vya kutosha juu ya Madini ya Vito kuanzia utambuzi kwa njia ya macho mpaka Thamani zake. Haya yote hutokana na wengi wao huwa ni Wanajimolojia walio amua kujiajiri katika Tasnia ya Biashara za Madini ya Vito na hata ikitokea mhusika hana taaluma yeyote kuhusu Jimolojia, basi ni dhahiri yakwamba pembeni yake huwepo Mtaalamu wa Jimolojia ambaye humsimamia katika shughuli zake za kibiashara na lengo ni kuulinda mtaji wake pia kuzalisha faida zaidi, na hii ndio sababu kuu yenye kupelekea Madini ya Vito kuwa yenye Thamani zaidi pindi yafikapo katika Masoko ya Ughaibuni.
TAFITI ZILIZOFANYWA NA MJIMOLOJIA FRANK ALLAN HIZZA,
Kupitia mahojiano baina yake na Wahusika ilibainika yakwamba asilimia 60% walikuwa hawafahamu kabisa Thamani halisi za Madini ya Vito, na 30% walikuwa wanafahamu Thamani ya baadhi ya Madini ya Vito, huku 10% wakiwa wanafahamu Thamani za Madini ya Vito aina zote na wengi wao walikuwa ni Wanajimolojia na wale wafanya Biashara wanao watumia wanajimolojia katika shughuli zao za kibiashara. Unaweza hakiki Tafiti hizo kwa kufanya mahojiano baina yako dhidi ya wafanya Biashara wa Madini ya Vito waliyo kuzunguka. Asante
Tufuatilia kupitia Google kwa jina la "T-TanzaniteGram" ili uweze kujipatia Vitabu vitakavyo kupatia mwongozo wa thamani za Madini ya Vito aina zote kwa Bei nafuu.