Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,644 Mar 12, 2022 #1 Huyo ni.mdudu hatari sana, anaitwa Nyigu. kwa maumivu yake hata Nyuki anasubiri Mara ya kwanza kukutana nae alinipa Komwe la muda mfupi na maumivu ya hatariπ π nikimuona naanza safari ya kujihami mapema sana vipi kwako, tupe stori..
Huyo ni.mdudu hatari sana, anaitwa Nyigu. kwa maumivu yake hata Nyuki anasubiri Mara ya kwanza kukutana nae alinipa Komwe la muda mfupi na maumivu ya hatariπ π nikimuona naanza safari ya kujihami mapema sana vipi kwako, tupe stori..
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 12, 2022 #2 Bado na siombei. nyigu hatari
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,644 Mar 12, 2022 Thread starter #3 Numbisa said: Bado na siombei. nyigu hatari Click to expand... Bora nyuki eti...
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,030 Reaction score 20,391 Mar 12, 2022 #4 Hivi vitu vinauma Bora umtumie Demu nayakutolea asije maumivu unaweza vumilia ila hawa hapana kabisa.
Hivi vitu vinauma Bora umtumie Demu nayakutolea asije maumivu unaweza vumilia ila hawa hapana kabisa.
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,644 Mar 12, 2022 Thread starter #5 Kasomi said: Hivi vitu vinauma Bora umtumie Demu nayakutolea asije maumivu unaweza vumilia ila hawa hapana kabisa. Click to expand... π π π π πππ Maumivu yake ni hatari, mapenzi yakasome
Kasomi said: Hivi vitu vinauma Bora umtumie Demu nayakutolea asije maumivu unaweza vumilia ila hawa hapana kabisa. Click to expand... π π π π πππ Maumivu yake ni hatari, mapenzi yakasome
UP TO DATE JF-Expert Member Joined Apr 20, 2021 Posts 740 Reaction score 903 Mar 12, 2022 #6 Walinipiga misumari hao jamaa Tena kichwani,nilikimbia humo shambani Kama mwehu nusu kufa...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 12, 2022 #7 Kuna binadamu wanaviuno kama nyigu...
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 11,557 Reaction score 33,535 Mar 12, 2022 #8 Hawa jamaa waliwahi kutushughulikia tulikuwa tumeenda kuiba maembe kwenye shamba la mzee mmoja alikuwa analilinda na mishale akitukuta anatutishia. Nilisikia maumivu mgongoni nikajua leo nimepigwa mshale kume vilikuwa hivi vijamaa, kufika nyumbani bi-mkubwa naye akatushughulikia kwa nini tumeenda kucheza maporini....aisee utoto rahaπ
Hawa jamaa waliwahi kutushughulikia tulikuwa tumeenda kuiba maembe kwenye shamba la mzee mmoja alikuwa analilinda na mishale akitukuta anatutishia. Nilisikia maumivu mgongoni nikajua leo nimepigwa mshale kume vilikuwa hivi vijamaa, kufika nyumbani bi-mkubwa naye akatushughulikia kwa nini tumeenda kucheza maporini....aisee utoto rahaπ
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,311 Reaction score 15,640 Mar 12, 2022 #9 Mmoja tu alitosha kunipa kichapo cha tatu bila...shingoni,kisogoni na kwenye mkono ndani ya sekunde
ShyaRuwa JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 7,895 Reaction score 13,643 Mar 13, 2022 #10 Hatari, kabla ya kung'ata anakuachia wenge kwa ule mngurumo wake kama engine ya Jet.
S Sesten Zakazaka JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 10,559 Reaction score 19,101 Mar 13, 2022 #11 Ndio Rwanda wakaipa timu yao ya taifa ya soka jina la Manyigu (Amavubi). Ni wadudu wakali kweli kweli
Ndio Rwanda wakaipa timu yao ya taifa ya soka jina la Manyigu (Amavubi). Ni wadudu wakali kweli kweli
Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 2,652 Reaction score 5,242 Mar 14, 2022 #12 Kuna Yale meusi yanatotoboa mbao! Kuna ng'ombe aligongwa na ng'onda alikimbia hapa na doksi