Ushawahi kumkimbia mwanamke guest?

🀣🀣🀣
 
Mapadri na makadinali watadislike kwa maelezo eti kuwalala ndugu ama marafiki ni dhambi!

Kwa rijali yeyote, hakuna tendo lenye kutia ari na morali, kama kuwa na akili ya kuweza kuwacontrol wanawake wenye mahusiano ya karibu na kisha kuwalamba wote.

Unajikuta ni mjanja sana halafu ni bingwa mshindi wa madola, kazi yako ni kuwasanifu tu kwa kuwaangalia usoni, hasa mkutanapo pamoja ni rrrrrhaaa!

Ni starehe mojawapo ya kimahusiano kubwa sana hiyo.

Akili za kidadisi za wanawake zilivyo, uzishinde kuweza kuzicontrol na kuwalala wote kiroho safi na pasichimbike, kisha wao wakaendelea kujipongeza kwa kupika na kupakua, ulistahili tuzo ya kombe lenye madini ya dhahabu halisi, maana si kazi ya kitoto hiyo.

Binafsi huwapa shime sana wanaume wote wenye ndoa za mitala kuweza kucheza na akili za wanawake wajanja, kuwaoa na kuishi nao kwa utulivu raha mstarehe, tena wengine hudiriki kuishi nao nyumba moja na chumba kimoja!

Uanaume kumbe si kuvaa tu suruali na kuchomekea mkanda nje kuwa ndiyo sifa toshelezi, hapana.
 
Ulitubu nini sasa wakati bado unaendeleza yale yale?
 
Naona. Umeguswa sana mkuu
Kanikumbusha mauhuni ya enzi zetu za ujana.

Ukisikia mtu kagonganisha magari, elewa mtu huyo hakupiga hesabu sawasawa.

Unapofanya kituko hicho, inatakiwa pasiwepo na lawama ama ugomvi, mambo yaende kama hayajatokea.

Hapo utajisifu na ujuaji, lakini ukakosea ku culculate baba, utatafuta na uvungu wa kujificha kuikwepa aibu, ni noma.
 
Umetisha mpwa. Ulisimamia shoo mpaka asubuhi aisee!
 
Ile umeingia tu unasikia huko koridoni mtu anaongea na simu akitoa taarifa Mahali kuwa Nimemuona shemeji ameingia hapa muda huu Nikadhani umo ndani.....
Ahahahah uenda ata alikuwa anakutisha ungekaza moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…