Hapana ila niliwahi kupendwa na demu wa rafiki yangu,ilikuwa 2007 nilikuwa na rafiki yangu fulani, alikuwa na demu wake sasa siku moja aliniita niende kwake alikuwa na part ya kujipongeza baada ya kuajiriwa rasmi,nilifika tukala chakula kisha zikaagizwa creti mbili za bia zikaja pale ndani kwa mshikaji ikawa ni mwendo wa kufurai huku tukisindikizwa na muziki wa madiluu,,ilipofika mida ya saa moja kasoro hivi best yangu akapokea simu ikimuhitaji afike kazini mala moja,rafiki yangu akaniaga kwa ile dharula kisha akaniambie niwe huru niendelee kunywa,basi mala baada ya jamaa kutoka tu shemeji akaenda kuoga,balaa ni pale alipotoka kuoga akiwa na khanga moja huku ndani hana kitu na kuanza kupaka mafuta huku akinitaka nisiwe na wasiwasi,kwa kuwa kilikuwa chumba kimoja tu mm nilijifanya pombe imenizidi na nimelala ,yeye baada ya kupaka mafuta kaja kuniamsha huku ukiwa ananipapasa na nilipoamka nikataka niondoke akasema hapana shemu,kuwa na amani naomba tufanye kidogo huku chini kunanitekenya ,,kifupi nilishusha suruali nikamchapa nao kwa sana tu,,kisha nikasuuza rungu kwa bia baada ya kuona pale ndani sioni maji na bidada kalala tu huku akishukuru,,mm nikatoka nikasepa zangu ila huwa najutia sana tukio lile