Ushawahi kumpenda mpenzi wa rafiki yako

Ushawahi kumpenda mpenzi wa rafiki yako

Nilivyokuwa chuo first year Mimi na best yagu tukawa tunawaadmire machalii flani ambao ni mabest pia. Mimi nikawa namkubali mmoja na yeye anamkubali mwingine..ilikuwa Siri yetu tukiwaona tunafurahi kinoma.
Sijui ikawaje best yangu akawa na mahusiano na yule kaka ninae ninae mzimikia mie, iliniletea shida kias flani lakini nikapotezea maisha yakasonga. Sijui ikawaje..bwana shemeji akanizoea sana na kuniambia alikuwa ananizimikia tangu kitambo, nilivyotoka likizo nikamletea Zawadi ya konyagi niliyoiiba home...he he he kilichotokea hapo sisimulii Tena. Jamaa ni mshkaji mpaka leo.
Bidada alikuja kuambiwa kuwa natoka na jamaa yake niliruka na kuapa viapo vyoteee, na yeye bado ni rafiki yangu hata sasa.
Aiseeeee
 
Nilimbana pabaya sana hata kama ungekuwa wewe usingepindua
Hata hivyo pia nilimpania sana nilimla na ilikuwa gemu hot balaaa
Alikuja ahamishwa akaenda mikoani lakini mpaka leo huwa tukikutana lazima tuamshe dude
Asee
 
Mmoja.. wapenzi wake 3.
Mwingine... Mmoja (expecting kumuoa kbsa[emoji16])
Reason behind,nlkua a shoulder to cry on majamaa wakiwazngua,then Shit happens..
Cheers wagwan!
Duuh
 
Kaliwa mama,mwanae na wifi yake wee demu tu unaenda kutubu kwa paroko?
 
Hapana ila niliwahi kupendwa na demu wa rafiki yangu,ilikuwa 2007 nilikuwa na rafiki yangu fulani, alikuwa na demu wake sasa siku moja aliniita niende kwake alikuwa na part ya kujipongeza baada ya kuajiriwa rasmi,nilifika tukala chakula kisha zikaagizwa creti mbili za bia zikaja pale ndani kwa mshikaji ikawa ni mwendo wa kufurai huku tukisindikizwa na muziki wa madiluu,,ilipofika mida ya saa moja kasoro hivi best yangu akapokea simu ikimuhitaji afike kazini mala moja,rafiki yangu akaniaga kwa ile dharula kisha akaniambie niwe huru niendelee kunywa,basi mala baada ya jamaa kutoka tu shemeji akaenda kuoga,balaa ni pale alipotoka kuoga akiwa na khanga moja huku ndani hana kitu na kuanza kupaka mafuta huku akinitaka nisiwe na wasiwasi,kwa kuwa kilikuwa chumba kimoja tu mm nilijifanya pombe imenizidi na nimelala ,yeye baada ya kupaka mafuta kaja kuniamsha huku ukiwa ananipapasa na nilipoamka nikataka niondoke akasema hapana shemu,kuwa na amani naomba tufanye kidogo huku chini kunanitekenya ,,kifupi nilishusha suruali nikamchapa nao kwa sana tu,,kisha nikasuuza rungu kwa bia baada ya kuona pale ndani sioni maji na bidada kalala tu huku akishukuru,,mm nikatoka nikasepa zangu ila huwa najutia sana tukio lile
Zamani sana hii
 
Nilivyokuwa chuo first year Mimi na best yagu tukawa tunawaadmire machalii flani ambao ni mabest pia. Mimi nikawa namkubali mmoja na yeye anamkubali mwingine..ilikuwa Siri yetu tukiwaona tunafurahi kinoma.
Sijui ikawaje best yangu akawa na mahusiano na yule kaka ninae ninae mzimikia mie, iliniletea shida kias flani lakini nikapotezea maisha yakasonga. Sijui ikawaje..bwana shemeji akanizoea sana na kuniambia alikuwa ananizimikia tangu kitambo, nilivyotoka likizo nikamletea Zawadi ya konyagi niliyoiiba home...he he he kilichotokea hapo sisimulii Tena. Jamaa ni mshkaji mpaka leo.
Bidada alikuja kuambiwa kuwa natoka na jamaa yake niliruka na kuapa viapo vyoteee, na yeye bado ni rafiki yangu hata sasa.
Hahaha
 
Mmmm, hapana. Ila alinishobokea mwenyewe..shemejii...shemejii..ikabidi mzee nijiongeze.
Wameishaona...lakini rafiki akipata tu safari mamaa ananiambia nijiongeze tena!
Wanawake! we acha tu. Nimekuwa nikidhamiria kujitoa kwenye hii vicious circle lakini siishi kuahirisha maana mamaa mwenyewe...Manshallaa[emoji7][emoji7]
Hahaha hongera mkuu
 
Back
Top Bottom