Ushawahi kumpenda mtu lakini yeye anakukwepakwepa?

BigBaba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
1,908
Reaction score
9,040
Ushawahi kumpenda mtu lakini yeye hata hataki kuonekana mko pamoja? Yaani anakukwepakwepa tu!

Huo ndivyo *UHUSIANO* wangu na Pesa ulivyo kwa sasa ...........☹☹

Awamu hii Mambo si Mambo lakini bado nina imani na kijani kwa Tz Mpya. ☹

 
Kawaida sana,ni kwa viumbe wote,tafakari,chukua hatua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…