Ushawahi kupanda daladala moja mara mbili kwenda na kurudi?

Ushawahi kupanda daladala moja mara mbili kwenda na kurudi?


Daladala Hilo Ulilopanda Wewe Ni Nchi Gani

 
Home boy sikia tujitahidi tuboreshe kiswahili chetu katika nyanja zote .Sasa hii "daradara" ni sahihi kweli?
 
Hapa uzi tayari!
Mimi mgahawani kuna kijiko nilikiwekea alama kisirisiri, cha ajabu kila nikienda hapo naletewa kijiko kile kile, hata kama ni mhudumu mgeni.
Kwann ulifanya hivyo...je kila ukienda unakua peke yako au kuna wateja wengine nao wanatumia vijiko?
 
We ungesema swala la nauli kupand ila kurudia hiyo mbona kawaida sana
 
Back
Top Bottom