Ushawahi kupanda daladala moja mara mbili kwenda na kurudi?

Ushawahi kupanda daladala moja mara mbili kwenda na kurudi?

Hiyo kawaida sana mkuu mara mwsh kupanda daladala 2015 kabla sijanunua kagar kangu sio cha mkopo wakuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii kawaida sana Mkuu.
Wengine mpaka Makondakta wameshatukariri kabisa.. Hata tukisafiri, tukirudi anakwambia Bro hatujakuona siku mbili tatu hizi, vipi ulisafiri nini? Na hata nikimlipa nauli kubwa kama hana chenji anakwambia nenda tu, utanipa siku nyingine..

Nikipanda tu gari yake wala sihangaiki kumwambia anishushe kwenye kituo changu, tukifika anagonga Bodi nashuka.. Kuna siku nilisinzia Konda akasimamisha Gari akamwambia abiria wa pembeni yangu; "Niamshie Braza huyo anashukia hapa".[emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom