Ushawahi kupanda daladala moja mara mbili kwenda na kurudi?


Daladala Hilo Ulilopanda Wewe Ni Nchi Gani

 


Daladala Hilo Ulilopanda Wewe Ni Nchi Gani

 
Home boy sikia tujitahidi tuboreshe kiswahili chetu katika nyanja zote .Sasa hii "daradara" ni sahihi kweli?
 
Kama ni mtumiaji wa route hiyo mara kwa mara ni jambo la kawaida sana.
 
Hapa uzi tayari!
Mimi mgahawani kuna kijiko nilikiwekea alama kisirisiri, cha ajabu kila nikienda hapo naletewa kijiko kile kile, hata kama ni mhudumu mgeni.
Kwann ulifanya hivyo...je kila ukienda unakua peke yako au kuna wateja wengine nao wanatumia vijiko?
 
We ungesema swala la nauli kupand ila kurudia hiyo mbona kawaida sana
 
Hivi ishawahi kukutokea kupanda daladala moja mara 2 hii hali imenitokea leo naenda kazini na kurudi
Mkuu umelikomoa kweli dala dala, je hujachelewa kufika kazini kwa kupanda dala dala lingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…