Ushawahi Kupata mchongo Ukiwa Baa?

Mingi tu

Kuna bar ndy watu wanakaa nakuzungumza michongo
Kidimbwi huwezi pata mchongo
Maana wote huko mnaenda kulewa na kukatika mauno tu

Ova

Kidimbwi kuna siku zake za kwenda na sio weekend mkubwa
 
Ngoja nikacharge simu Mbeya pazuri labda nitapata connection [emoji3526]
 
Mingi tu

Kuna bar ndy watu wanakaa nakuzungumza michongo
Kidimbwi huwezi pata mchongo
Maana wote huko mnaenda kulewa na kukatika mauno tu

Ova
Mzee naomba shusha nondo, vijana tunahitaji michongo mkuu
 
Nilishawahi pata demu ki utani nikiwa bar sababu tu ya mwanaume wake kuwa mchepukaji.

Mimi sinywi pombe ile ni mpenzi sana wa nyama choma.
Kuna bar walikuwa wanachoma nyama vizuri sana na ilikuwa njia ya kwendea kwangu.

Karibu na hiyo bar kulikuwa na kibanda cha wakala. Sababu ya kuzoea kwenda hiyo bar ilipelekea kuzoeana na dada wakala pia. Sikuwahi kumtongoza ila tulifahamiana kiasi cha kusaliamana.

Mara nyingi ilikuwa namuona yule dada akifunga kibanda chake huwa anakaa pale bar na jamaa ambae niliamini ni jamaa yake.

Siku moja kama kawaida yangu nilienda kula nyama. Dada wakala nae ilikuwa anaingia bar. Ghafla akavamiwa na mdada na kuanza kutolewa maneno kuwa anatembea na mume wake.

Jamaa nae akaja na akawa anamkana demu kuwa hamjui. Nikaona isiwe kesi nikaenda kwenye ile tafrani na kumuuliza demu vipi baby kuna nini.

Demu alisoma mchezo kuwa najaribu kumuokoa. Akasema huyu mama anadai natembea na huyu mumewe wakati hata siwajui.
Lile mbwiga inaelekea lilikuwa linamuogopa mkewe na lenyewe likakakandamizia kwa mkewe kuwa anaona anavamia mpenzi wa mtu.

Wale wanandoa walichukuzana na kuondoka. Na mimi na dada wakala tukaendelea kukaa kwa muda huku nikimfariji. Alikunywa bia kadhaa na tukaishia kuondoka wote kufanya maigizo yetu ya kweli.
 
Doh
 
Chai
 
Mkuu kimasihara, ukapata mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…