Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee naomba shusha nondo, vijana tunahitaji michongo mkuuMingi tu
Kuna bar ndy watu wanakaa nakuzungumza michongo
Kidimbwi huwezi pata mchongo
Maana wote huko mnaenda kulewa na kukatika mauno tu
Ova
DohNilishawahi pata demu ki utani nikiwa bar sababu tu ya mwanaume wake kuwa mchepukaji.
Mimi sinywi pombe ile ni mpenzi sana wa nyama choma.
Kuna bar walikuwa wanachoma nyama vizuri sana na ilikuwa njia ya kwendea kwangu.
Karibu na hiyo bar kulikuwa na kibanda cha wakala. Sababu ya kuzoea kwenda hiyo bar ilipelekea kuzoeana na dada wakala pia. Sikuwahi kumtongoza ila tulifahamiana kiasi cha kusaliamana.
Mara nyingi ilikuwa namuona yule dada akifunga kibanda chake huwa anakaa pale bar na jamaa ambae niliamini ni jamaa yake.
Siku moja kama kawaida yangu nilienda kula nyama. Dada wakala nae ilikuwa anaingia bar. Ghafla akavamiwa na mdada na kuanza kutolewa maneno kuwa anatembea na mume wake.
Jamaa nae akaja na akawa anamkana demu kuwa hamjui. Nikaona isiwe kesi nikaenda kwenye ile tafrani na kumuuliza demu vipi baby kuna nini.
Demu alisoma mchezo kuwa najaribu kumuokoa. Akasema huyu mama anadai natembea na huyu mumewe wakati hata siwajui.
Lile mbwiga inaelekea lilikuwa linamuogopa mkewe na lenyewe likakakandamizia kwa mkewe kuwa anaona anavamia mpenzi wa mtu.
Wale wanandoa walichukuzana na kuondoka. Na mimi na dada wakala tukaendelea kukaa kwa muda huku nikimfariji. Alikunywa bia kadhaa na tukaishia kuondoka wote kufanya maigizo yetu ya kweli.
ChaiNilishawahi pata demu ki utani nikiwa bar sababu tu ya mwanaume wake kuwa mchepukaji.

Mkuu kimasihara, ukapata mchongoNilishawahi pata demu ki utani nikiwa bar sababu tu ya mwanaume wake kuwa mchepukaji.
Mimi sinywi pombe ile ni mpenzi sana wa nyama choma.
Kuna bar walikuwa wanachoma nyama vizuri sana na ilikuwa njia ya kwendea kwangu.
Karibu na hiyo bar kulikuwa na kibanda cha wakala. Sababu ya kuzoea kwenda hiyo bar ilipelekea kuzoeana na dada wakala pia. Sikuwahi kumtongoza ila tulifahamiana kiasi cha kusaliamana.
Mara nyingi ilikuwa namuona yule dada akifunga kibanda chake huwa anakaa pale bar na jamaa ambae niliamini ni jamaa yake.
Siku moja kama kawaida yangu nilienda kula nyama. Dada wakala nae ilikuwa anaingia bar. Ghafla akavamiwa na mdada na kuanza kutolewa maneno kuwa anatembea na mume wake.
Jamaa nae akaja na akawa anamkana demu kuwa hamjui. Nikaona isiwe kesi nikaenda kwenye ile tafrani na kumuuliza demu vipi baby kuna nini.
Demu alisoma mchezo kuwa najaribu kumuokoa. Akasema huyu mama anadai natembea na huyu mumewe wakati hata siwajui.
Lile mbwiga inaelekea lilikuwa linamuogopa mkewe na lenyewe likakakandamizia kwa mkewe kuwa anaona anavamia mpenzi wa mtu.
Wale wanandoa walichukuzana na kuondoka. Na mimi na dada wakala tukaendelea kukaa kwa muda huku nikimfariji. Alikunywa bia kadhaa na tukaishia kuondoka wote kufanya maigizo yetu ya kweli.
We ulienda na mchongo hapo bar auNazungumzia pesa mkubwa