cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Haya sasa tufanye namna, na sie tuje tuote ushuhuda humu.Mambo si ndo hayo,siku zote wazuri hawaringi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya sasa tufanye namna, na sie tuje tuote ushuhuda humu.Mambo si ndo hayo,siku zote wazuri hawaringi
7800 inapendeza.Kuna mmoja alimtoa mtu Mwanza akaja akampa elfu saba sijui na ngapi hivi, ili trend sana hapa JF
Nasubiri ushuhuda[emoji16]Haya sasa tufanye namna, na sie tuje tuote ushuhuda humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena utuliee, soon tunaleta ushuhuda hapa.Nasubiri ushuhuda[emoji16]
Mchunguze ni kijana wa jana au wa leo[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena utuliee, soon tunaleta ushuhuda hapa.
Nimtaje hapa? 😂😂 hapa kuna wachawii hiviiiInasema tutajie yule mubebe wako uliyemuopoa humu
Nimependa Avatar yakoNipo hapa
KhaaaWanawake wa jf ukiwaona utawataka? Utajuta kuwataka nakuambia wengi wao wana sura mbaya na wapo wenye vipara
Tutajie hata herufi yake ya mwanzo🤣🤣Nimtaje hapa? 😂😂 hapa kuna wachawii hiviii
Eti jamani, kama wanapenda rasta si waseme tuanze kuzifuga🤣Khaaa
Tuna vipara na hamtuambii tufuge nywele 😂😂😂😂😂
Mwanasheria wangu naniuuu aje ndio nitaongeaTutajie hata herufi yake ya mwanzo🤣🤣
Eti jamani 😂😂😂😂Eti jamani, kama wanapenda rasta si waseme tuanze kuzifuga🤣
HahahaaMwanasheria wangu naniuuu aje ndio nitaongea
Watakuja kukupa mwongozo😂Kama yule mmoja anavyowachanganya hana habari yani.
Subiri aingie kama ataingiaBado wewe kuingia kwenye orodha shossssssss 🤣🤣🤣🤣!! Nawe lazima upitirweeeee 🤣🤣 wenzio tulijishebedua ivoivooooo Saivi tumeufyantaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dj waletreeeeeeeeeeee 💃💃💃
Majuto ni vitukuuNilimpataga enzi hizo nasoma, alinitunza, alinisaidia ada....sijui ilikuwaje tunakaachana. Ila Mimi ndo nilikuwa tatizo, utoto ulikuwa mwingi.
Popote alipo namshukuru, sijawahi kusahau wema wake kwangu.
Kumbe[emoji848]Sana,jamvi la wageni uwiiiih[emoji1787]
Wajuba wanapasiana tu huko pm[emoji3]
Si unajiona wewe ndiyo wewe tena kumbe wenzio wanakuzooom tu,
Weuweeeeeeeeeeh[emoji706]
Si kweli, Bantu Lady ni mwanamke.Humu wote wanaume kuwa makini[emoji28]