Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Ndrrriiioooo ndrrriiioooo!!!! Hanaga shida kabesaaa shoss anguuu utaenjoy [emoji3577][emoji3577][emoji3577]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo haniweziiiii amepoaaa mnooooo.
 
wa vipaji Unamchota tu mwenzio[emoji16]!!

Na mie nanunua buti nikaze kamba Mkuu usintanieeee [emoji16][emoji16]!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]madam hutaki kuamini kuwa kila nikizama piemuni naishia kupigwa za uso?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kheeeeh kumbe kuingia huko kunatakiwa vigezo? Haya mnijuzee ni vigezo gani hivyoooo???

Mie hata nikitemwa sitaufyataa as if nikiingia lakini,

Kwa JF hapanaaaaa, siwezi ingiaaa. Wa mtaani wanatoshaa eti.
😂😂😂 taqo

Hutofyata kama utakubali kuacha/ kuachika
Ila ukiachwa pasipo we kuachilia
Utabaki na kimuhemuhe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]madam hutaki kuamini kuwa kila nikizama piemuni naishia kupigwa za uso?
Thubutuuuuuuu!!! Mnakula tyu mema ya jf nyieeeee🙌🙌🙌🙌😂!!
 
Bwahahahahahaa ebu ncheke kwanza mieeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! cocastic shougaaangu una vigezo kwanzaaaaa! Yule mtyu wa watyuu wa viwango shossssssss usiwe sura ngumu ka mie hapaaaaa kimbilio la wakosefu Auwiiiiiiiiii[emoji847]

Dj waletreeeeee [emoji126][emoji126]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi hapoooo sina vigezo, niko nje ya folen, kingine trakoooooo bwana yulee anataka mpododo, sasa mie ngongingo, uwiiiiiiiii

Wee mtoto mwenye sura, umbo, Elimu, maisha yako, utakuwaje kimbilio la wakosefu acha hizo mwayaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂 taqo

Hutofyata kama utakubali kuacha/ kuachika
Ila ukiachwa pasipo we kuachilia
Utabaki na kimuhemuhe
Mbonaa taqoooo bwahahahahahah!!
Nacheeeeekkaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣!

Jf sitrokiiiii💃🤸
 
[emoji23][emoji23][emoji23] taqo

Hutofyata kama utakubali kuacha/ kuachika
Ila ukiachwa pasipo we kuachilia
Utabaki na kimuhemuhe
Traaaakoooooo!!! Hadi hapo niko nje ya ulingo.

Ukitemwaa temekaaaa eeeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Inategemea sasa ntu na ntu. Woiiiiiiih
 
Back
Top Bottom