CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,048
- 7,608
Mchumba wachawi na mafisi wengi humu[emoji16]Ongezaaaa sauti mchumbaaaaa, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Aririiiiiiiiiii,. Sasa si tutoe ushuhudaaa jomoneeee mchumbaaaa.
Maisha malaini sana. Ukiyalainisha yanakuwa yana ulaini wa kimalayaAsee hivi kumbe niko busy natoa povu kombe la dunia watu wanajenga familia huku mmu?
Amenyookaa hiviiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana mbambambaa kabesaaaaaa!!
Hanaga mbambambaa kabesaa amenyooka kama rulaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo haniweziiiii amepoaaa mnooooo.Ndrrriiioooo ndrrriiioooo!!!! Hanaga shida kabesaaa shoss anguuu utaenjoy [emoji3577][emoji3577][emoji3577]!!
Kampe cha shukrani..!! Halafu unalimwaga sebene la maana mpaka asahau utoto uliomfanyiaSiwezi kusema...Ila mi ndo nilimvuruga that gentleman.
Abeeeeeeeeh mlongoooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlongooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]madam hutaki kuamini kuwa kila nikizama piemuni naishia kupigwa za uso?wa vipaji Unamchota tu mwenzio[emoji16]!!
Na mie nanunua buti nikaze kamba Mkuu usintanieeee [emoji16][emoji16]!!
😂😂😂 taqo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kheeeeh kumbe kuingia huko kunatakiwa vigezo? Haya mnijuzee ni vigezo gani hivyoooo???
Mie hata nikitemwa sitaufyataa as if nikiingia lakini,
Kwa JF hapanaaaaa, siwezi ingiaaa. Wa mtaani wanatoshaa eti.
Thubutuuuuuuu!!! Mnakula tyu mema ya jf nyieeeee🙌🙌🙌🙌😂!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]madam hutaki kuamini kuwa kila nikizama piemuni naishia kupigwa za uso?
Mi sijapata mwenza wa kuhongana ila rafiki mdala yupooo. Anaitwa Bantu Lady ...Abeeeeeeeeh mlongoooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu toa ushuhuda naweee bas lol.
Ndo umeandika nn mkuu?Maisha Maldini sana ukiyalainisha. Yanakuwa yana ukaini wa kimalaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi hapoooo sina vigezo, niko nje ya folen, kingine trakoooooo bwana yulee anataka mpododo, sasa mie ngongingo, uwiiiiiiiiiBwahahahahahaa ebu ncheke kwanza mieeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! cocastic shougaaangu una vigezo kwanzaaaaa! Yule mtyu wa watyuu wa viwango shossssssss usiwe sura ngumu ka mie hapaaaaa kimbilio la wakosefu Auwiiiiiiiiii[emoji847]
Dj waletreeeeee [emoji126][emoji126]
Dah..!! bonge la typo. Naenda kurekebisha wallahNdo umeandika nn mkuu?
I hope sio kitu kibaya ulichoandika
Mbonaa taqoooo bwahahahahahah!!😂😂😂 taqo
Hutofyata kama utakubali kuacha/ kuachika
Ila ukiachwa pasipo we kuachilia
Utabaki na kimuhemuhe
Kwani huniaminiii mchumbaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wahi mkuu kimbiaDah..!! bonge la typo. Naenda kurekebisha wallah
Sie waongeaji ni ngumu kukubalika, kuna zile njemba underground, undercover ni [emoji91][emoji91][emoji91]Thubutuuuuuuu!!! Mnakula tyu mema ya jf nyieeeee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23]!!
Traaaakoooooo!!! Hadi hapo niko nje ya ulingo.[emoji23][emoji23][emoji23] taqo
Hutofyata kama utakubali kuacha/ kuachika
Ila ukiachwa pasipo we kuachilia
Utabaki na kimuhemuhe
Thubutuuuuuuu!! Mnazooom tu watu na kujichekea nhiiii[emoji23]Sie waongeaji ni ngumu kukubalika, kuna zile njemba underground, undercover ni [emoji91][emoji91][emoji91]