Kama yule mmoja anavyowachanganya hana habari yani.Likawa balaa la mwisho wa mwaka[emoji3],
Humu unaweza kuwa na urafiki na mwenza wa mwenza wako na msijuane[emoji3] na mwenza wenu akawa anawacheka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jf[emoji706][emoji706]
Mpeni maujanja na yeye aonje mashangazi wa JFKama hujawahi pata, jihesabu una mikosi!
Utasubiri sana🏃🏃Love in the air
Bebi wangu utakaepatikana JF ujue unachelewesha mambo? Njoo fasta tumalize mchakato haraka na mimi niandike comment kwamba nimekupata JF. Au utakuja na wajukuu??
Na mmejaaliwaMpeni maujanja na yeye aonje mashangazi wa JF
Wa muda mrefu ama mfupiNa mimi nahitaji msaada natafuta mchumba humu, Glenn kanikataa
Halafu sikuwaza hilo😅😅😅Wa muda mrefu ama mfupi
Tuwasiliane🏃🏃🏃Halafu sikuwaza hilo😅😅😅
Ole wako unitajeKama yule mmoja anavyowachanganya hana habari yani.
Hivi bado unanifikiria au nikate tamaa?Halafu sikuwaza hilo😅😅😅
Kila siku nakwambia uwe serious hutakiHivi bado unanifikiria au nikate tamaa?
Ni mwendo wa kupiga na kupita hivi[emoji1435]Kama yule mmoja anavyowachanganya hana habari yani.
[emoji1787][emoji1787]nacheka kama mazuri yaniKama yule mmoja anavyowachanganya hana habari yani.
Sio tumalize hapa hapa? Watu washuhudieTuwasiliane🏃🏃🏃
Ushuhuda nibaada ya kumeganaSio tumalize hapa hapa? Watu washuhudie