Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Tusubiri katiba mpya tutatumia hiyoIli ujue niko serious napaswa kuapa na Biblia au katiba ya CCM?
Maana kama ni kunizungusha nimekuvulia kofia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri katiba mpya tutatumia hiyoIli ujue niko serious napaswa kuapa na Biblia au katiba ya CCM?
Maana kama ni kunizungusha nimekuvulia kofia...
Kama yule mmoja anavyowachanganya hana habari yani.
Huu mtandao unachekesha
Unaweza mtaja bae wako uko proud nae kumbe kuna wenzako wanakuzoom tu..
Huongei na mtu leo mna beef kesho akija na id mpya unakuwa swahiba wake.
Unadate mtu mnagombana kesho akija na id mpya unazama pm yake unamtongoza upya bila kujua[emoji23]
Shaban kaoneka umejichanganyaa 😂😂😂Mbona hata nikisoma comment yako nasikia saut nzuri ya mwanamke
Anza ww sound basiOk Nataka nikupe sound hapa hapa au unaonaje then tutaamianinbox[emoji847][emoji847]
Na yeye anaunga telaAnkola
Zunguka zunguka majukwaan humu hutakosaHebu namie mnipee sample huenda nikanunua kabisa 😂😂😂
Sitaki ukewenza nife na preshaSasa kwanini umtaje Darlin kwenye maongezi yetu
Sasa si tumeshaongea tumeelewanaSitaki ukewenza nife na presha
Eeee hadi una namba zake niambie kwa siku anakupigia mara ngapi??😂😂😂😂you made me laugh this morning
Aseme tu ili na namba zake ni block
Njoo pm nikueleweshe Kuna kitu hujaelewa na hapa hutaelewaSio wewe tu hadi mimi anataka kunichezea na nimeshamshtukia sitaki habari nae