Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Huu mtandao unachekesha
Unaweza mtaja bae wako uko proud nae kumbe kuna wenzako wanakuzoom tu..

Huongei na mtu leo mna beef kesho akija na id mpya unakuwa swahiba wake.
Unadate mtu mnagombana kesho akija na id mpya unazama pm yake unamtongoza upya bila kujua[emoji23]
Nawapenda sana wadada wa jf waliofunga pm zao hawatakigi ujinga
 
Back
Top Bottom