Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Tunaongea tukiamka, mchana akiniuliza kama nshapata chakula cha mchana, jioni akitoka kazini na usku kabla hatujalala
Kwani yeye anakupigiaga mara ngap?
Hajawah basi unapendwa wewe
Yanin mie basi nimeachia
 
Back
Top Bottom