Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Na hataki kuchaguaSio wewe tu hadi mimi anataka kunichezea na nimeshamshtukia sitaki habari nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hataki kuchaguaSio wewe tu hadi mimi anataka kunichezea na nimeshamshtukia sitaki habari nae
Kwamba sema kwa sauti asikie Darlin na unampigia sana simu mim hujawahSasa si tumeshaongea tumeelewana
Tunaongea tukiamka, mchana akiniuliza kama nshapata chakula cha mchana, jioni akitoka kazini na usku kabla hatujalalaEeee hadi una namba zake niambie kwa siku anakupigia mara ngapi??
Hajawah basi unapendwa weweTunaongea tukiamka, mchana akiniuliza kama nshapata chakula cha mchana, jioni akitoka kazini na usku kabla hatujalala
Kwani yeye anakupigiaga mara ngap?
Eee haji manara weeNjoo pm nikueleweshe Kuna kitu hujaelewa na hapa hutaelewa
Siku hizi amepunguza baada ya kukupata wewe maana hiyo ilikua ni zamaniHajawah basi unapendwa wewe
Yanin mie basi nimeachia
Usifanye hasira binadam tunatakiwa kupendana kwann nimchukie we utafurahi mi niende motoni kwa kosa la kuchukia watu?Hajawah basi unapendwa wewe
Yanin mie basi nimeachia
Both teams to score😂😂😂Yeye kashanielewa ni vitu vidogo tu ntamuweka sawa ataelewa
😂😂😂😂🤣Usifanye hasira binadam tunatakiwa kupendana kwann nimchukie we utafurahi mi niende motoni kwa kosa la kuchukia watu?
Mjanja huyoBoth teams to score😂😂😂
Hatutaki banaaaaaa
Mi hujawah nipigia simuUsifanye hasira binadam tunatakiwa kupendana kwann nimchukie we utafurahi mi niende motoni kwa kosa la kuchukia watu?
Kwa style hii me naomba tu nikuachie huyu kijanaMjanja huyo
Tusipoitana hapa tutaitana piemuni huko ili tukuache vizuri
Usihangaike we sema unataka uwe haji manara tu
Hakubali sasaKwa style hii me naomba tu nikuachie huyu kijana