Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu pita nae nionee, ntawaroga wote mgandaneee. Unajua matego ya songea weyeeee??
Harogwi mtyuuuu hapaaa kigoma Mwisho wa reli ni motroo wa kuotea mbareeeee!!! 🔥

Kwanza ushatoa ushuhuda weye ?? Hebu toa nasubiria hapa miyeeeee!!🙇🙇
 
Harogwi mtyuuuu hapaaa kigoma Mwisho wa reli ni motroo wa kuotea mbareeeee!!!

Kwanza ushatoa ushuhuda weye ?? Hebu toa nasubiria hapa miyeeeee!![emoji144][emoji144]
Sasa shougaaaa mie ushuhuda nautoa wapi? Hata cjawahi eti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu shougaaa hebu njoo tsup unipe umbea kidg.
 
Sana,jamvi la wageni uwiiiih[emoji1787]

Wajuba wanapasiana tu huko pm[emoji3]

Si unajiona wewe ndiyo wewe tena kumbe wenzio wanakuzooom tu,

Weuweeeeeeeeeeh[emoji706]
Na wana ishia kusema "hakuna kitu palee maji mara 1" afu huku jukwaani wanakupa hype kukujazaa, JF sihamiiiiiii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wana ishia kusema "hakuna kitu palee maji mara 1" afu huku jukwaani wanakupa hype kukujazaa, JF sihamiiiiiii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu[emoji16],mie sitaki[emoji706]

Kuchunguliwa na kila mtu siyo ishu aisee,

Ukimpata mmoja anaejielewa tulia nae,
 
Back
Top Bottom