Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Mtuache

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
256
Reaction score
658
Mitandao ya kijamii alimaarufu kama social media imekuwa nyenzo moja wapo tena kubwa sana ya watu kuanzishia mahusiano kwa miaka ya hivi karibuni.

Yaani unakutana na mtu online mnachat, mnabadilishana namba mnakutana live mnakulana na mishe zengine zinaendelea.

Imefikia hatua mpaka watu wanaingia kwenye ndoa ukifatilia walikutania wapi? Utaambiwa FB, mara insta mara twitter mara sijui wapi siku hizi mitandao ni mingi.

Je?? Humu JamiiForums, ushawahi kukutana na mtu mpaka mkawa wapenzi?

Japo naamini kwa nature ya JF ni ngumu kidogo watu ku'interact kwenye masuala binafsi ila kuna wale martin kadinda, duduke, nyoka pangoni, wanangu wa ngono zembe wao kupata mpenzi ni popote hata msibani.
........

Kama uliwahi kupata mpenzi em tuambie ilikuaje kuaje? Na mpaka sasa mmefikia hatua gani?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Maana anaweza akaandika comment akajibiwa ikawa kesi
Likawa balaa la mwisho wa mwaka[emoji3],

Humu unaweza kuwa na urafiki na mwenza wa mwenza wako na msijuane[emoji3] na mwenza wenu akawa anawacheka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jf[emoji706][emoji706]
 
Mitandao ya kijamii alimaarufu kama social media imekuwa nyenzo moja wapo tena kubwa sana ya watu kuanzishia mahusiano kwa miaka ya hivi karibuni.

Yaani unakutana na mtu online mnachat, mnabadilishana namba mnakutana live mnakulana na mishe zengine zinaendelea.

Imefikia hatua mpaka watu wanaingia kwenye ndoa ukifatilia walikutania wapi? Utaambiwa FB, mara insta mara twitter mara sijui wapi siku hizi mitandao ni mingi.

Je?? Humu Jamii Forums, ushawahi kukutana na mtu mpaka mkawa wapenzi?

Japo naamini kwa nature ya JF ni ngumu kidogo watu ku'interact kwenye masuala binafsi ila kuna wale martin kadinda, duduke, nyoka pangoni, wanangu wa ngono zembe wao kupata mpenzi ni popote hata msibani[emoji23][emoji23].
........

Kama uliwahi kupata mpenzi em tuambie ilikuaje kuaje? Na mpaka sasa mmefikia hatua gani?
Kama hujawahi pata, jihesabu una mikosi!
 
Back
Top Bottom