[emoji1787][emoji1787][emoji1787] masihara hayo ,,,, ukamahama na makaziPesa yangu nyingi kushika kwa mara ya kwanza ilikua 5.7mil...nilishinda mbet 2014...
Nilihama hostel za chuo nikapanga hotelini,wiki 3 tu nikabaki na 100k nikarudi hostel...
Ule mkeka niliscreenshoot nikaubackup gugodrive
Hahahaha waafrika bhana ni watu wasiopenda taabu kabisa, Wakipata lazima wale rahaPesa yangu nyingi kushika kwa mara ya kwanza ilikua 5.7mil...nilishinda mbet 2014...
Nilihama hostel za chuo nikapanga hotelini,wiki 3 tu nikabaki na 100k nikarudi hostel...
Ule mkeka niliscreenshoot nikaubackup gugodrive