Ushawahi kupeleka mshono kwa fundi na ulipata ulichokitaka?

Kadhakan

Senior Member
Joined
Jul 20, 2026
Posts
126
Reaction score
201
Baada ya malalamiko mengi niliyoyasikia kwenye jamii, leo baada ya pitapita kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na post ya biharusi aliyetaka mshono kama wa Priscilla Ojo kwenye harusi ya kimila kwaajili ya siku ya harusi yake.

Ila mafundi !

IMG-20260810-WA0067.jpg
 
GENTAMYCINE aliwahi nisimulie alipeleka kitambaa kwa fundi cherehani ashonewe suruali ila fundi akakosea akamshonea sketi ya shule,genta alilalamika sana lakini kwa kuwa fundi aliishona sketi vizuri genta akaipenda ikabidi aichukue awe anaivaa na ndipo jina lake la genta the girl lilipoanzia
 
Tatizo langu ni 'Kulala' sana na Mama yako Mzazi kuliko Baba yako au?
 
Back
Top Bottom