Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Ahahaha wakati hao watu hawaoni umuhimu wakoWamatumbi Tunapenda kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu🚮
Bado una safari ndefuSijawahi kutana na hiyo mambo aiseee!
Nikiwemo mimiHivi miaka hii kuna watu wapo single?
Kama ninyi wanawake mtu ana kupoteza kabisaInasikitisha sana 🥴
Tupotezwe Mara kumi mkuu🥺Kama ninyi wanawake mtu ana kupoteza kabisa
Acha kabisa kuwasikiaTupotezwe Mara kumi mkuu🥺
Mpishi mkuu wa JF,sijaelewa kabisa.
Ebu nitumie namba ya yule binamu yako october 29 nataka nikapoe nae Lushoto waandamanaji wasije wakamvunja magego bureeNikiwemo mimi
Heshima sio mbona wewe kuna watu hapo ulipo hawakuheshimu kutokana tu na ulivyo japo wewe una jiona upo sahihi na umejiweka kiheshima zaidiUzi kama hizi zinabidi ziwe zinafutwa kulinda heshima ya Jukwaa
Atakuwa kwenye doria iyo siku sasa sijui mtaemda woteEbu nitumie namba ya yule binamu yako october 29 nataka nikapoe nae Lushoto waandamanaji wasije wakamvunja magego buree
Mi mwenyewe natakiwa kua kwenye maandamano sasa kupunguza madhara nataka nisepe naeAtakuwa kwenye doria iyo siku sasa sijui mtaemda wote
team chaputa, under the rule of dronedrake and Mbaga Jr mkononizationHivi miaka hii kuna watu wapo single?