Ushawahi kupewa ushauri gani na mtu aliye single wakati unamhadithia hali ya mahusiano yako?

Ushawahi kupewa ushauri gani na mtu aliye single wakati unamhadithia hali ya mahusiano yako?

Hell

Kuna wale watu wapo single mda mrefu sana wana kuwa na kaushauri fulani hivi wa kimbea na unafiki utasikia

Wewe utulii na mwanamke mmoja kuna Ukimwi , gono, UTI au una hisi mimi sina upwiru nimeamua kuacha sitaki wanq wake

Jamaa una endelea kumuambia af mimi situmii kinga naenda kavu nainjoy

Muangalie usoni mtoa ushauri una gundua kabisa uyu ana wivu na upwiru una msumbua

Shusha baadhi ya ushauri ulio wai pewa na singleee
Huku umevamia mada mkuu, tufundishe KUPIKA mkuu
 
Back
Top Bottom