Wahalifu wengi huiba pesa, vito, magari na vitu vya thamani kama hivyo
Lakini mhalifu huyu ni tofauti kidogo.
Mnamo Oktoba 2016- mtu huyu alikwenda kwenye duka la furniture na kuiba ''window blinds'' kisha akaificha kwenye koti lake kama unavyoona hapo juu!
Wafanyikazi walimuona kupitia CCTV cameras na wakashangazwa sana na ujasiri wa huyu jamaa. Walianza kumfatilia na walipomkaribia jamaa alitupa mzigo huo aliouiba na kukimbia!